{"id":155,"date":"2022-01-14T16:32:13","date_gmt":"2022-01-14T16:32:13","guid":{"rendered":"https:\/\/www.nyayozangu.com\/blog\/?p=155"},"modified":"2022-01-14T16:33:59","modified_gmt":"2022-01-14T16:33:59","slug":"makosa-ma5-kwenye-kuanzisha-biashara","status":"publish","type":"post","link":"https:\/\/www.nyayozangu.com\/blog\/makosa-ma5-kwenye-kuanzisha-biashara\/","title":{"rendered":"Makosa Ma5 Kwenye Kuanzisha Biashara"},"content":{"rendered":"\n<h2 class=\"wp-block-heading\">Makosa Ma5 Kwenye Kuanzisha Biashara<\/h2>\n\n\n\n<p>Kuna tafiti ilifanyika kuhusu maisha ya biashara ndogo, majibu yaliyo toka yalionyesha kwamba 98% za biashara zina kufa ndani mwaka mmoja baada ya kuanzishwa. Haya ni baadhi ya makosa yanayo fanyika wakati wa kuanzisha biashara hizi. <\/p>\n\n\n\n<figure class=\"wp-block-embed is-type-video is-provider-youtube wp-block-embed-youtube wp-embed-aspect-16-9 wp-has-aspect-ratio\"><div class=\"wp-block-embed__wrapper\">\n<p class=\"responsive-video-wrap clr\"><iframe loading=\"lazy\" title=\"Makosa Ma5 Kwenye Kuanzisha Biashara\" width=\"1200\" height=\"675\" src=\"https:\/\/www.youtube.com\/embed\/fnZ-x19kGFw?feature=oembed\" frameborder=\"0\" allow=\"accelerometer; autoplay; clipboard-write; encrypted-media; gyroscope; picture-in-picture\" allowfullscreen><\/iframe><\/p>\n<\/div><\/figure>\n\n\n\n<h2 class=\"wp-block-heading\">1. Kutokufanya Utafiti <\/h2>\n\n\n\n<p>Waanzilishi hawachukui muda kufanya utafiti juu ya biashara wanayo taka kuanzisha. Hii inapelekea kuongeza uwezekano wa biashara kufeli. <\/p>\n\n\n\n<h2 class=\"wp-block-heading\">2. Kuajiri Haraka <\/h2>\n\n\n\n<p>Waanzilishi wanakimbilia kuajiri watu, bila kuwa na mpango mkakati wa kumudu mzigo unao ongezeka juu ya biashara pale waajiriwa wakiwa wengi. <\/p>\n\n\n\n<h2 class=\"wp-block-heading\">3. Kuto Kutunza Kumbukumbu <\/h2>\n\n\n\n<p>Hii ni moja ya sababu kubwa inayo ua biashara nyingi. Biashara haitunzi kumbukumbu za matumizi, mahitaji, na taaarifa mbalimbali za uendeshaji. Hii inasababisha kushindwa kujua afya halisi ya biashara. <\/p>\n\n\n\n<h2 class=\"wp-block-heading\">4. Kutokujua Sheria <\/h2>\n\n\n\n<p>Kuna biashara zinazojikuta zina kwama kwa kuto kufuata sheria husika, na mwisho wasiku kujikuta na faini nyingi, na kushindwa kuendelea. <\/p>\n\n\n\n<h2 class=\"wp-block-heading\">5. Kutomuelewa Mteja <\/h2>\n\n\n\n<p>Hii pia inaonekana mara kwa mara, pale ambapo biashara inaendeshwa bila uelewa wa ndani zaidi wa soko husika. Mteja anabadilika, na kuto kumuelewa inaweza sababisha biashara kufa haraka. <\/p>\n\n\n\n<figure class=\"wp-block-pullquote\"><blockquote><p>Kosa gani kati ya haya umejikuta umefanya?<\/p><\/blockquote><\/figure>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>Kuna tafiti ilifanyika kuhusu maisha ya biashara ndogo, majibu yaliyo toka yalionyesha kwamba 98% za biashara zina kufa ndani mwaka mmoja baada ya kuanzishwa. Haya ni baadhi ya makosa yanayo fanyika wakati wa kuanzisha biashara hizi. <\/p>\n","protected":false},"author":1,"featured_media":156,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"_mi_skip_tracking":false,"footnotes":""},"categories":[23,22],"tags":[21,18,20,19],"class_list":["post-155","post","type-post","status-publish","format-standard","has-post-thumbnail","hentry","category-business","category-learn","tag-biashara","tag-business","tag-business-growth","tag-business-tips","entry","has-media"],"_links":{"self":[{"href":"https:\/\/www.nyayozangu.com\/blog\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/155","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"https:\/\/www.nyayozangu.com\/blog\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"https:\/\/www.nyayozangu.com\/blog\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/www.nyayozangu.com\/blog\/wp-json\/wp\/v2\/users\/1"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/www.nyayozangu.com\/blog\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=155"}],"version-history":[{"count":2,"href":"https:\/\/www.nyayozangu.com\/blog\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/155\/revisions"}],"predecessor-version":[{"id":158,"href":"https:\/\/www.nyayozangu.com\/blog\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/155\/revisions\/158"}],"wp:featuredmedia":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/www.nyayozangu.com\/blog\/wp-json\/wp\/v2\/media\/156"}],"wp:attachment":[{"href":"https:\/\/www.nyayozangu.com\/blog\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=155"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"https:\/\/www.nyayozangu.com\/blog\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=155"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"https:\/\/www.nyayozangu.com\/blog\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=155"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}